Tone

Tone
Home » » MSAFARA WA MADIWANI JIJINI MWANZA WASHAMBULIWA NA WANANCHI

MSAFARA WA MADIWANI JIJINI MWANZA WASHAMBULIWA NA WANANCHI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Ni katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo Jijini Mwanza iliyohusisha madiwani 16 wa Jiji la Mwanza pamoja na waandishi wa habari ambao nao wajikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzuiliwa kupigwa picha.
Msafara wa ziara hiyo ukiwa Kata ya Lwanima. Tanki la maji la Igambiti katika Kata ya Lwanima. Miongoni mwa kituo cha maji cha mradi wa maji Fumagila Kata ya Kishili ambacho kilikutwa kimefungwa. Madiwani wa Jiji la Mwanza wakishuhudia moja ya kituo cha maji cha mradi wa maji Fumagila kikitoa maji ambacho kilikutwa kikitoa maji

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa