Tone

Tone
Home » » Jenerali Mstaafu Kiaro aagwa jijini Mwanza

Jenerali Mstaafu Kiaro aagwa jijini Mwanza









 Maofisa wa JWTZ wakibeba jeneza lenye mwili wa Jenerali Kiaro katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza, ulipoagwa jana.
 Wake
wa Jenerali Kiaro, Penina (Kushoto) na Zainabu (kulia) wakishuhudia
mwili ukiagwa katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza


Wake na watoto wa Jenerali Kiaro wakiwa katika ibada ya kuuaga mwili katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza
 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, akitoa salaam za rambirambi wakati wa hafla ya kuuaga mwili

Mkuu
wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, ACP Liberatus Barlow, akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Jenerali Kiaro ulipoagwa katika viwanja vya
Kapripoint jijini Mwanza

Jeneza lenye mwili wa Jenerali Kiaro likiwa katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza, ambako uliagwa

Mmoja wa maofisa wa JWTZ akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jenerali Kiaro katika viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza,

Maofisa wa JWTZ wakikalisha jeneza lenye mwili wa Jenerali Kiaro katika meza kwenye viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza

Kutoka
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, Mkuu wa
Wilaya ya Nyamagana, Said Hamanzi na Ofisa Usalama wa Taifa wa Mkoa wa
Mwanza, Johnson mtasongelwa, wakiwa katika hafla ya kuuaga mwili wa
Jenerali Kiaro kwenye viwanja vya Kapripoint jijini Mwanza.

Picha/Habari kwa Msaada Wa Amani Tanzania Blogu

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa