Tone

Tone
Home » » BI.FATMA KUWAFUNDA WANAWAKE KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.

BI.FATMA KUWAFUNDA WANAWAKE KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Mbali na kupata burudani, chakula pamoja na vinywaji, mfundaji mashuhuri nchini Bi.Fatma atakuwa mfundaji kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza, tarehe 06.11.2016 Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Ni kuanzia saa kumi alasiri kwa kiingilio cha shilingi elfu arobaini tu.
Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa