Vipindi
vya Bongo Star search vimeanza kwenda hewani, na siku ya jana imeruka
episode ya kwanza kuonyesha mchujo jinsi ulivyoenda mpaka kubakiwa na
Top 6 (pichani) ya washiriki kutoka Mwanza ambayo itajumuika na washindi
wa mikoa iliyosalia.
Kipindi
kitakuwa kinaruka kila siku ya Jumapili, saa tatu kamili kwenye vituo
vya televisheni vya Clouds Tv na Star Tv na marudio yake; Kwa Clouds Tv
ni Jumanne saa tano kamili asubuhi pamja na Alhamisi saa nane kamili
mchana; Kwa StarTV ni Alhamisi saa tisa na nusu mchana.
0 comments:
Post a Comment