MUIGIZAJI
WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI LA JIJINI MWANZA, LINALORUSHA MCHEZO
WAKE KUPITIA LUNINGA YA STAR, MZEE DUDE, AMEFARIKI DUNIA, JANA SAA 12
JIONI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO, BAADA YA KUUGUA KWA MUDA
MFUPI.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN

0 comments:
Post a Comment