Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo (Mwenyekiti) akiendesha Kikao cha Bodi ya Barabara kinachoendelea katika Ukumbi wa BOT mkoani Mwanza, kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza (RAS) Ndaro Kulwijila. |
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mary Tesha akitaka maelekezo kutoka kwenye kabrasha la Kikao hicho (Kulia) na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Magu Jackiline Liana na Mkuu wa Wilaya Ilemela Amina Masenza |
Sehemu ya Wajumbe ambao ni Wabunge wa Majimbo ya Mkoa wa Mwanza |
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Hassan Hida |
Mbunge wa Jimbo la Kwimba Shanif Mansoor akitaka ufafanuzi juu ya ujenzi wa kiwango cha lami kutoka Hungumalwa kupitia Mwankurwe, Nyamilama, Ngudu hadi Magu. |
Meneja wa TANROAD Mkoa wa Mwanza Eng. Leonard Kadashi akitoa ufafanuzi wa hoja za wajumbe wa kikao hicho kinachoendelea sasa. |
Mwenyekiti wa Kikao Eng. Evarist Ndikilo (Mkuu wa Mkoa wa Mwanza) akisisitiza jambo kwenye kikao. |
Ndani ya Kikao Ukumbi wa BOT Mwanza. |
0 comments:
Post a Comment