Tone

Tone
Home » » WAKAZI WA MWANZA WABURUDIKA NA SKYLIGHT BAND NDANI YA GOLD CREST HOTEL SHEREHE ZA MWAKA MPYA‏

WAKAZI WA MWANZA WABURUDIKA NA SKYLIGHT BAND NDANI YA GOLD CREST HOTEL SHEREHE ZA MWAKA MPYA‏

DSC_0020
Muonekano wa Stage mpya ya Skylight Band ndani ya Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza tarehe 1/1/2014 kwenye
DSC_0063
Super model Neema Mbuya akiwa na chupa za Zappa , huku Skylight Band ilitoa Free shots za Tequila kwa mashabiki 100 wa kwanza ndani ya hoteli ya Gold Crest waliokuja kusheherekea mwaka mpya na Skylight Band jijini Mwanza.
DSC_0058
Mate lazima yakutoke kwa wale wapenzi wa hizi mambo.
DSC_0053
Aneth Kushaba AK 47 wa Skylight Band akijisevia Shots ya Tequila lango kuu la kuingia ukumbi wa Nyerere ndani ya Gold Crest Hotel palipofanyika show ya aina yake kwa wakazi wa Mwanza kusheherekea mwaka mpya.
DSC_0225
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel kwenye usiku maalum kwa wakazi wa Mwanza kusherekea.
DSC_0158
Pichani juu na chini Mama Amanda pamoja na Eddie wakiburudika na burudani ya Skylight Band.
DSC_0144
Shabiki wa Skylight Band akitunza mijihela kwa waimbaji wa band hiyo wakati wa kusheherekea mwaka mpya ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
DSC_0151
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao.
DSC_0179
Skylight Band waliweka historia jijini Mwanza 2013-2014.
DSC_0164
Rappa Joniko Flower akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza.
DSC_0196
Mary Lucos akiimba na kucheza na mashabiki wake.
DSC_0242
Ilikuwa ni Surprise ilipotimia saa sita kamili kuamkia tarehe 2/1/2014 alizaliwa mtoto aliyeitwa Dr. Sebastian Ndege....Pichani ni Mama Amanda pamoja na Justine Ndege wakifungua Champagne kwa ajili ya kumpongeza Dr. Sebastian Ndege.
DSC_0243
Bila kutegemea Dr. Sebastian Ndege alianza kuogeshwa maji na marafiki pamoja na mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0244
Marafiki wakiendelea kumwogesha......!!!
DSC_0246
alijitahidi kukwepa lakini wapi....ilishindikana.
DSC_0247
Meneja wa Kinywaji cha K-Vant Bw. James akiendelea kumimina maji kwa swahiba wake a.k.a JEMBE.
DSC_0252
Marafiki wakimpongeza JEMBE.
DSC_0323
Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akipata Ukodak na marafiki ndani ya Gold Crest Hotel.
DSC_0265
Brothers for life........Dr. Sebastian Ndege a.k.a JEMBE akijaribu kumzuia mdogo wake Justine Ndege kutaja majina yake ya Utotoni ikiwa ni kumbukumbu yake ya kuzaliwa kwenye usiku maalum wa kusheherekea mwaka kwa wakazi wa Mwanza ndani ya Gold Crest Hotel.
DSC_0291
Justine Ndege akitoa nenola shukrani kwa mashabiki wa Skylight Band wa jijini Mwanza na kuwashukuru kwa kuoyesha ushirikiano na kuikubali Band hiyo ambapo pia amewaahidi kuendelea kuwaletea burudani hiyo ndani ya jiji hilo.
DSC_0279
Wadau wakifurahia burudani ya Skylight Band.
DSC_0281
DSC_0283
DSC_0286
DSC_0305
Pichani juu na chini ni Mama Amanda na Justine Ndege wakigawa Champagne kwa wakazi wa Mwanza.
DSC_0312
DSC_0317
DSC_0336
DSC_0337
Matajiri wa jijini Mwanza Dr. Chacha pamoja na Kitama wakipata Ukodak.
DSC_0351
DSC_0394
DSC_0364
DSC_0551
Kwa mara ya kwanza ndani ya Mwanza kipaji kipya cha Skylight Band Hashim Donode akitoa burudani kwa wakazi wa Rock City.
DSC_0379
Wadau wakisebeneka na sebene za Skylight Band.
DSC_0387
DSC_0447
Hapa mpaka kukuche....halali mtu...
DSC_0159
DSC_0368
Kudhihirisha hilo mdau alikuja na mswaki wake kabisa, akimaanisha baada ya burudani anasafisha mdomo wake na kuingia mjini kuendelea na misheshe zake za kusaka Dough......!!!!
DSC_0186
DSC_0598
Joniko Flower na Sony Masamba wakipata Ukodak na mashabiki wao.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa