Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watoto wakati alipotembelea
shule ya msingi ya Mitindo wilayani Misungwi na kufungua bweni la
wavulana katika shule hiyo ambayo pia inalea na kusomesha watoto wenye
ulemavu wa ngozi , Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua bweni la
wavulana katika shule ya msing ya Mitindo wilayani Misungwi, Februari
19, 2018.Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na watatu kulia
ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mdawati katika madarasa ya shule ya
msingi ya Mitindo wilayani Misungwi baada ya kufungua bweni la wavulana
shuleni hapo Februari 19, 2018. Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hyo, S.
Mafie.
Wazri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mtoto Januari wa Shule ya Msingi
ya Mitindo wilayani Misungwi ambayo pia inawalea na kuwasomesha watoto
wenye ulemavu wa ngozi , Februari 19, 2018. Mtoto huyo siku zote
amesisitiza kwamba baada ya kumaliza masomo yake akiwa mtu mzima
angependa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania .
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto
alipotembelea Shule ya Msingi ya Mitindo ambayo pia inalea na
kuwasomesha watoto wenye ulemavu wa ngozi wilayani Misungwi Februari
19, 2018. Mheshimiwa Majaliwa pia alifungua bweni la wavulana shuleni
hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment