WAREMBO WA MISS TANZANIA 2016 WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA MARA BAADA YA KUWASILI JIJINI MWANZA.
MSAFARA WA BODA BODA NA MAGARI ULIENDA KUWAPOKEA WAREMBO
MSAFARA UKITOKA WIAYA YA NYAMGANA KUINGIA KATIKATI YA JIJI LA MWANZA.
ILIKUWA RAHA SANA ROCK CITY MWANZA KUWAPOKA WAREMBO WA MISS TZ 2016
WAREMBO WAKIWA WANATALII MAENEO MBALI MBALI YA JIJI LA MWANZA
NI FULL TABASAMU KWA KILA MREMBO
WAREMBO WAKIWA WAMEPENDEZA KATIKA VAZI ZURI LA T.SHIRT ZA PEPSI
GOOD LOOK GOOD SMILE BOMBA SANAAAA
WAREMBO KATIKA POZI LA MTU TATU
NI DHAMBI KUBWA KUJ MWANZA ALAFU USIFIKE SAMAKI SAMAKI CITY CENTER
WAREMBO WAKIWA KATIKATI YA JIJI LA MWANZA
WAREMBO WOTE KATIKA PICHA YA PAMOJA.
WANAVYOTEMBEA UTADHANI SIKU IMEFIKA KUMBE BADO MPAKA TAREHE 29
WAREMBO KATIKA POZI LA MAPUMZIKO JIJINI MWANZA.
GOOD SMILEMUDA WOTE
WAREMBO WAKIPATA VINJWAJI
NANI KUIBUKA KIDEDEA? ....ENDELEA KUSOMA KIJUKUU BLOG.
CREDIT: G-SENGO BLOG
0 comments:
Post a Comment