Tone

Tone
Home » » MADJZ WA LAKE FM KUDONDOSHA BURUDANI TAMU KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE JIJINI MWANZA

MADJZ WA LAKE FM KUDONDOSHA BURUDANI TAMU KWENYE USIKU WA MSHIKE MSHIKE JIJINI MWANZA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 


Burudani ya Usiku wa Mshike Mshike inapigwa usiku wa leo alhamisi Oktoba 27,2016 kuanzia saa moja jioni. Atakuwepo Malikia wa Taarabu, Khadija Omar Kopa, pamoja na bendi yake ya Ogopa Kopa Classic na Fatina Khamis kutoka bendi ya Big Star.

Kabla ya saa tano usiku utalipa shilingi 7,000 tu na shilingia 10,000 baada ya saa tano usiku. Burudani kali itadondoshwa na #LakeFmDjz Mwanza kama matangazo yanavyoonesha.
Na BMG


Bonyeza HAPA Kujua Zaidi

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa