Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
- Anaswa akimchinja makaburini, afikishwa kortini
 
KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu  wa Msikiti wa Kisesa 
uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph,  amenusurika kuuawa 
na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiwa ameiba  nguruwe.
  Tukio hilo ni la kushangaza kwani kwa  mujibu wa imani ya dini ya Kiislamu inakataza ufugaji na matumizi ya nguruwe.
  Imamu huyo anayeheshimika sana wilayani  Magu, alinaswa na ‘kitimoto’ 
hicho maeneo ya makaburini akiwa katika harakati  za kumchuna baada ya 
kumchinja tayari kwa kitoweo.
 Chanzo;Tanzania Daima
0 comments:
Post a Comment