Home » » Picha: Gari la Naibu Waziri wa Uchukuzi likivuta magari yaliyokwama Buchosa mkoani Mwanza

Picha: Gari la Naibu Waziri wa Uchukuzi likivuta magari yaliyokwama Buchosa mkoani Mwanza


Gari la Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa jimbo la Buchosa, Dkt. Charles Tizeba likitoa msaada kwa baadhi ya magari yaliyokwama kwenye tope kutokana na mvua kali iliyokuwa ikinyesha hivi karibuni huko jimboni kwake.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za magari yaliyokwama kwenye tope hilo

 

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa