Maduka yakiwa yamefungwa jijini mwanza
 Hakuna duka lililo wazi
 Hata wenye magenge nao wamewasapoti wafanya biashara kwa kufunga biashara zao
 Jiji limetulia kabisa
 Kila kona ya jiji la Mwanza hakuna ishu yoyote 
 Hakuna kinacho endelea
 Watu wakiwa wamekaa tuu bila kuwa na kazi yoyote
 Mitaa yote maduka yamefungwa.
Picha zote na Mwanza yetu Blog
 


















 
 
 
 
 
 
 
.jpeg) 
.jpeg) 
 
 
0 comments:
Post a Comment