Tone

Tone
Home » » NI ZAIDI YA SHINDANO.. ONDOKA NA HADI MILIONI TANO , SOMA MAELEZO SASA KUSHIRIKI .

NI ZAIDI YA SHINDANO.. ONDOKA NA HADI MILIONI TANO , SOMA MAELEZO SASA KUSHIRIKI .


TSHS. MILIONI TANO KUSHINDANIWA.....    Mara, Mwanza, Arusha, Dodoma, Kagera, Mbeya, Mtwara na mikoa mingine mko wapi..??   Lile shindano la 'MPENDEKEZE ASHINDE vifaa vya KILIMO vyenye THAMANI ya Tshs. Milioni 5' linaloendeshwa na Balozi wa kampeni ya GROW Shamim Mwasha linaendelea.. Kwa masaa machache tumepokea maingizo 'entries' zinazokaribia 100 kutoka sehemu mbalimbali nchini.... Umeshatuma pendekezo lako..?? Umeshampendekeza mama, bibi, shangazi, mke, jirani, rafiki mkulima mwanamke, mtanzania, mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea anayelima mazao ya chakula..??   Kama bado, fursa ndio hii.. Ni wakati wako sasa kumpa ZAWADI ya mwaka ya vifaa vya KILIMO vyenye Thamani ya Tshs. MILIONI TANO. Ndio !!! Tshs. 5,000,000/=  Ni rahisi sana... Bofya hapa -->   https://www.surveymonkey.com/s/growtanzania   Jaza nafasi zote 19 kisha bofya SUBMIT.. Hivyo tu..   Wekeza kwa Wakulima Wadogo Wanawake. INALIPA.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa