Home » » DR. NCHIMBI ATEMBELEA BANDA LA TANROADS, KATIKA MAONESHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA.

DR. NCHIMBI ATEMBELEA BANDA LA TANROADS, KATIKA MAONESHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA.


  Mkuu wa Kitengo cha Usalama na Mazingira wa TANROADS, Zafarani A Madai akimwonyesha Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt Emmanuel Nchimbi,jinsi madereva wanavyopaswa kutumia barabara ili kuepusha ajali kwa kutumia michoro mbalimbali . 

 Mhandisi wa TANROADS Jonas Matete, akiwapa maelekezo ya matumizi ya barabara vijana wawili ambao walitembelea banda la wakala huyo wa barabara ili kufahamu mambo mbalimbali wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Usalama Barabarani yanayofanyika jijini Mwanza. 
Picha na Aisha Malima

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa