Baraza la habari Tanzania linaendesha semina ya siku tatu katika jiji la Mwanza juu ya uhuru wa vyombo vya habari. Semina hiyo inafanyika katika hotel ya G@G Mwanza kuanzia saa mbili asbuhi hadi saa kumi jioni.
Wawezeshaji kutoka baraza la habari tayari leo asubuhi wamefungua semina hii ambayo ina washiriki ishirini waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Mwanza. Kumi na tano kutoka Mwanza mjini na watano kutoka wilayani.
Waratibu wa semina hiyo ni Mwanza Press Club. Pata picha katika mwonekano mzuri ambao mtandao huu ulifika maeneo hayo kujionea semina inavyokwenda.
Mmoja kati ya wawezeshaji. |
Mwezeshaji wa semina kutoka baraza la habari. |
Deniss Mpagaze Mwenyekiti msaidizi wa Mwanza Press Club. |
George Ramadhan na Pauline David |
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali. |
Picha na B-Plus Blog
0 comments:
Post a Comment