Tone

Tone
Home » » MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MELI YA MV. BUKOBA

MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MELI YA MV. BUKOBA


Hili ni eneo la makaburi ya baadhi ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Bukoba iliyozama Mei 21, 1996 ambayo ni miaka 16 iliyopita katika Ziwa Victoria…


Hili ni eneo la makaburi ya baadhi ya watu waliofariki katika ajali ya meli ya MV Bukoba iliyozama Mei 21, 1996 ambayo ni miaka 16 iliyopita katika Ziwa Victoria ikitokea mkoani Kagera kuelekea Mwanza. Inakadiriwa kuwa watu zaidi ya 800 walipoteza maisha katika ajali hiyo.
PICHA KWA HISANI YA: GSENGO BLOG

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa