Tone

Tone
Home » » MISS NYAMAGANA 2012 KUFANYIKA JUNI 2 MJINI MWANZA

MISS NYAMAGANA 2012 KUFANYIKA JUNI 2 MJINI MWANZA


 Shindano la Miss Nyamagana 2012/2013, linatarajiwa kufanyika usiku wa Jumamosi ya terehe 02 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Jijini Mwanza. Takriban warembo 25 wamejitokeza katika shindano hilo, huku idadi ya warembo kujaza fomu za ushiriki ikiongezeka kila kukicha.

Mazoezi kwa warembo yataanza rasmi tarehe 14 June 2012 katika ukumbi wa Gold Crest Mwanza. Kwa mawasiliano ya udhamini na ushiriki kwa warembo piga namba 0717 557 220, 0764 088 48.


0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa