Tone

Tone
Home » » MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA MWAKA WA WANACHAMA WA MFUKO WA AKIBA YA WAFANYAKAZI SERIKALINI-JIJINI MWANZA

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA MWAKA WA WANACHAMA WA MFUKO WA AKIBA YA WAFANYAKAZI SERIKALINI-JIJINI MWANZA



 Makamu wa Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama
wa Mfuko wa Wafanyakazi Serikalini, ulioanza leo Aprili 19, 2012 kweye Ukumbi wa Hoteli ya
Gold Grest, jijini Mwanza. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi Mwanachama wa Mfuko wa GEPF, Andrew Maziku, aliyefanya vizuri katika
kuwekeza akiba katika mfuko huo, wakati Makamu alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa nne wa
Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, katika Ukumbi wa Hoteli ya
Gold Grest, jijini Mwanza, leo Aprili 19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi Mwanachama wa Mfuko wa GEPF, Omary Mataka, ambaye ni Dereva Tax wa
jijini Dar es Salaam, aliyechangia binafsi kuweka akiba katika mfuko huo, wakati Makamu
alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya
Wafanyakazi Serikalini, katika Ukumbi wa Hoteli ya Gold Grest, jijini Mwanza, leo Aprili
19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(katikati) akikata utepe kuzindua mpango wa Wanachama wa Mfuko wa GEPF, kuchangia na
kuweka akiba zao kupitia huduma ya Airtel Money, wakati Makamu alikuwa akifungua Mkutano
Mkuu wa Nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini, jijini
Mwanzanleo Aprili 19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Viongozi, wafanyakazi na wadau wa Mifuko ya
Jamii baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Mwaka wa Wanachama wa Mfuko wa Akiba ya
Wafanyakazi Serikalini, jijini Mwanzanleo Aprili 19, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa