Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini Tanzania (2th National Secretarial Confrerence) linaloendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
Mkuu wa Mkoa Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini Tanzania (2th National Secretarial Confrerence) linaloendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa chama cha makatibu Muhtasi (TAPSEA) Pili Penda akizungumza na kumtangaza Dr Mary Nagu kama mlezi wa Chama TAPSEA
Ephraim Kibonde ambaye ndie Mc wa Kongamano hili akifungua rasmi
Baadhi ya Makatibu Muhtasi waliohudhuria kongamano hili Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog |
0 comments:
Post a Comment