Home » » Skimu ya Hifadhi ya Jamii Inakuhusu Hata Wewe

Skimu ya Hifadhi ya Jamii Inakuhusu Hata Wewe

Wananchi mbalimbali wakipata elimu kuhusu umuhimu wa kujiunga na Skimu ya Hifadhi kutoka kwa Meneja wa Wananchi Waliojiajiri wa NSSF, Bi. Rehema Chuma. Elimu hiyo inalenga kuwahamasisha wananchi, hususan waliojiajiri, kujiunga na kujiwekea akiba kwa ajili ya usalama wa maisha yao ya sasa na ya baadaye.







 

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa