Home » » WAZIRI ULEGA AONGOZA KUTEKETEZA NYAVU HARAMU ZA MAMILIONI MWALO WA IGOMBE MKOANI MWANZA

WAZIRI ULEGA AONGOZA KUTEKETEZA NYAVU HARAMU ZA MAMILIONI MWALO WA IGOMBE MKOANI MWANZA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalla  Ulega (wa kwanza kulia) akiongoza shughuli ya kuteketeza nyavu haramu zenye thamani ya jumla ya shilingi Milioni 400 zilizo salimishwa na wavuvi wa mwalo wa Igombe mkoa wa Mwanza.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalla  Ulega akizungumza na wanachi wa mwalo wa Igombe mkoa wa Mwanza kabla ya kuteketeza  nyavu haramu zenye thamani ya jumla ya shilingi Milioni  400 zilizo salimishwa na wavuvi.
  Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalla  Ulega akiwa ameongonzana na watumishi wa mkoa wa Mwanza wakiwasili katika kiwanda cha Tanzania Fish Processors (TFP) mkoa wa Mwanza.
 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalla  Ulega akipima urefu samaki kwa kutumia kipimo cha kisasa chenye urefu wa sentimita 50-85 kilicho ruhusiwa kisheria.

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa