Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
(kulia) akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na
Mlezi na Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma
Jaji Mstaafu Mark Bomani
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
(katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni
Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu
Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akipata maelezo juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi
wa kituo cha Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akiangalia hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akipata maelezo juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha
Utamaduni wa kisukuma Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akiangalia zana mbali mbali za kiasili kwenye nyumba ya utamaduni
Bujora.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akipata maelezo namna machifu walivyokuwa mashujaa na viongozi hodari.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya chuo cha Bujora
Wapiga ngoma wakipiga kwa ufahari ngoma mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
Baadhi ya wageni wakiangalia ngoma mbali mbali zikichezwa kwenye
kituo cha Bujora mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Nnauye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akihutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye kituo cha utamaduni
wa kisukuma Bujora ambapo aliwapongeza kituo hicho kwa kudumisha
utamaduni na kuahidi serikali itaendelea kukisaidia.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye ambaye
pia amepewa jina la Chifu Sangeja( aliyeshika usinga) akiwa kwenye
picha ya pamoja na wasanii kutoka nchini Denmark ambao wanajifunza
utamaduni wa Kisukuma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akiangalia uwanja wa ndani wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya.
Sehemu ya jukwaa la kukalia la uwanja wa ndai wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba mkoa wa Mwanza.
Wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya wilayani Kwimba
wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Nnauye.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akifurahia jambo wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo cha maendeleo
ya michezo, Malya.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye
akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambapo
aliahidi kutatua changamoto mapema.
wanafunzi wa Chuo Cha Maendeleo ya Michezo- Malya wakionyesha uwezo
wao wa kimichezo kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Nnauye .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa
kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo
Malya mkoani Mwanza.
0 comments:
Post a Comment