Katibu asasi ya Vijana ya Boys & Girls
Bw,Johnson Jacob kutoka Bariadi akionyesha igizo lilikuwa likionyesha wajibu wa
Vijana kwa Familia ikiwamo kuwalinda na
kuwapatia mahitaji yao muhimu.
Mtaalamu wa Stadi za Maisha Bw,Robert Semkiwa
akiwafundisha waratibu wa ukimwi na maafisa Vijana wanaohudhuria Warsha ya siku
tatu inayohusu Stadi za maisha na Afya ya uzazi jinsi ya kukabiliana na Msongo
wa Mawazo na njia gani za kutumia kukabiliana nao.
Waratibu wa Ukimwi na maafisa Vijana wakiwa katika
mjadala wa pamoja wakipambanua kwa kina stadi mojawapo katika stadi tatu za maisha
ya kujitambua leo jijini Mwanza.kundi ili lilikuwa likijadili jinsi ya kukabili
mihemko kwani ni hatua mojawapo kijana
anayoipitia katika maisha yake.
Mwakilishi wa Vijana kutoka kamati ya kudhibiti
Ukimwi manispaa ya Shinyanga Bw,Rigobert Rwehumbiza akielezea wajibu binafsi
kwa kijana kwa washiriki wenzie katika warsha ya siku nne ya stadi za maisha na
afya ya uzazi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment