
Pichani
kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary
Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu
Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba
na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati
alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano
hilo linafanyika leo jijini Mwanza.

Pichani
kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary
Nagu akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia
ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili
kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo
jijini Mwanza,pichani kati Mwenyekiti wa Makatibu Muhtasi Tanzania
(TAPSEA),Bi.Pilly Mpenda wakiwa wamezungukwa na washirki wengine
mbalimbali wakiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano
hilo linafanyika leo jijini Mwanza.

Ngoma
ya asili ya wasukuma ikipigwa kuwakaribisha washiriki mbalimbali
waliokuwa wakiendelea kuwasiliasubuhi hii kwenye kongamanno hilo jijini
Mwanza

Washiriki mbalimbali wakiendelea kujiandikisha kwa ajili ya ushiriki wa kongamano hilo

Mazungumzo ya utaratibu wa washiriki wa Kongamano hilo ukiendelea kuwekwa sawa na waandaaji .
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI»

Waandaji wa Kongamano hilo wakiendelea kujadiliana jambo

Washiriki wa kongamano hilo wakiwa katika picha ya pamoja

Washirii wa kongamano hilo wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mkutano huo.

Washiriki wa Kongamano hilo wakitabasamu mbele ya Camera ya Globu ya Jamiii

Wadau wa TAPSEA wakiwa katika picha ya pamoja

Washiriki
wakendelea kuwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano
hilo linafanyika leo jijini Mwanza.PICHA NA MICHUZI MEDIA GROUP-MWANZA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment