Tone

Tone
Home » » Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa PSPF, Bw. Adam Mayingu atembelea Mkoa wa Mwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa PSPF, Bw. Adam Mayingu atembelea Mkoa wa Mwanza




Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Bw. Evarist Ndikilo (Kushoto) akijadiliana jambo na ujumbe kutoka mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko huo, Bw. Adam Mayingu (kulia), lengo la ziara hiyo ni kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.


Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa