Home »
» Rocky City Marathon yazinduliwa.
Rocky City Marathon yazinduliwa.
 |
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa awamu ya tano
ya Mbio za Rock City Marathon
2013,
leo Jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Kaimu
Mkurugenzi wa Kampuni ya Capital
Plus International (CPI),
Dkt. Hellen Otaru Okoedion. Mbio hizo
zinazoandaliwa
na kuratibiwa na CIP
zinatarajiwa kufanyika mkoani
Mwanza tarehe 27 Oktoba, mwaka huu.
|
 |
Katibu Mkuu wa Chama
cha Wanariadha Tanzania,
Bw. Suleiman Nyambui (katikati) akimueleza jambo
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante
Ole Gabriel
baada ya uzinduzi wa awamu ya tano ya mbio za
Rock City Marathon
leo Jijini Dar es Salaam.
Anayeshuhudia ni Mkuu wa Masoko na
Uhusiano wa Precision
Air, Bibi Linda
Chiza ambao ni mmoja wa wadhamini wa mbio hizo.
|
 |
Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo,
Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati
aliyevaa suti nyeusi)
akiwa katika picha ya pamoja na waandaaji,
wadhamini na
watendaji wa Baraza la Michezo
Tanzania wakati wa uzinduzi wa awamu ya tano
ya
mbio za Rock City Marathon leo Jijini Dar es Salaam.
Wa pili kulia ni Mwenyekiti
wa Baraza la Michezo
la Taifa (BMT), Bw. Dioniz Malinzi, wa pili ni
Kaimu
Mkurugenzi wa Kampuni ya Capital
Plus International, Dkt. Hellen Otaru Okoedion
na
wa kwanza kushoto ni Katibu Mtendaji
wa BMT, Bw. Henry Lihaya. Mbio hizo
zinazoandaliwa
na kampuni ya Capital Plus
International zinatarajiwa kufanyika mkoani
Mwanza
tarehe 27 Oktoba, mwaka huu.
(Picha zote na Concilia Niyibitanga)
|
0 comments:
Post a Comment