Tone

Tone
Home » » KAMATA KAMATA KWA MADEREVA WA DALADALA WANAOKATISHA RUTI YAANZA MWANZA.

KAMATA KAMATA KWA MADEREVA WA DALADALA WANAOKATISHA RUTI YAANZA MWANZA.


Mwenyekiti wa chama cha  Madereva Kanda ya Ziwa Victoria Drivers Assocation VDA Bw. Dede Petro akiongea kuhusu kamata kamata ya madereva wa Daladala jijini Mwanza wanaokatisha ruti.

Hatimaye kamata kamata ya madereva wa Daladala imeanza rasmi katika jiji la Mwanza kwa madereva wote ambao wanakatisha ruti.

Haya yamesemwa na Mwenyekiti wa Chama cha Madereva Kanda ya Ziwa Bw. Dede Petro wakati mtandao huu ulipotaka kujua nini makusudi ya operesheni hiyo.

Amesema kuwa chama chake, Sumatra na Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani wamejipanga kikazi zaidi kuweka mambo sawa kwa madereva wote wanaokatisha ruti na kuwasababisha usumbufu kwa abiria.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa