Shamba
la kilimo cha umwagiliaji cha Mbogamboga la Ngongoseke lililoko katika
kijiji cha Nsola wilayani Magu ni mfano wa kuigwa katika matumizi ya
ziwa Victoria. Pichani, nyanya ndogondogo maarufu kwa jina la
nyanyapori zikiwa zimelimwa kitalaam kwenye shamba hilo ambalo, Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda alilitembelea Septemba 13, 2012.

Mtoto
akiwa amenyanyuliwa juu ili aweze kumwona Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba Mjini
Magu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza, Septemba 13, 2012.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua gati la kupokelea samaki katika kijiji
cha Kigangama wilayani Magu akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza,
Septemba 13, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:
Post a Comment