![]() |
| Kushoto ni Mkurugenzi wa The Great Zone Fabian Fanuel, Bwana Kiwia, Mkurugenzi mtendaji wa The Great Zone Bwana Tumaini Ngowi pamoja na katibu wa Mbunge bwana Laban. |
![]() |
| Hawa ndio wasani wa sanaa mbalimbali katika kundi la The Great Zone. |
![]() |
| Mmoja kati ya wasanii nguli wa kundi hili Samiga a.k.a Star akiwa na Esther katika moja kati ya action walifanya mbele ya wageni na wasanii wakiwangalia. |
![]() |
| Wasanii wa The Great Zone. |
![]() |
| Sanaa ya Sarakasi nayo haikuwa nyuma kuonekana mbele ya wageni wetu. |
![]() |
| Wasanii wakiangali matukio mbalimbali yakiendelea. |
![]() |
| Hapa wasanii walikamatwa wakishuhudia sanaa mbalimbali. |
Ndio kwanza mambo ndo yameanza kuiva katika jumba letu la sanaa na tumepania kuleta mapinduzi ya kweli katika tasnia ya sanaa hapa Mwanza , Kanda ya Ziwa, Tanzania na duniani kiujumla. Wapenzi, Wadau , wahisani na wadahamini tunaomba mtuunge mkono ili tufikie malengo tuliyonayo.
Chanzo: BPluss blog








0 comments:
Post a Comment