Tone

Tone
Home » » RAIS DR JOHN MAGUFULI AINGIA KWA KUSHTUKIZA NA KUPATA MSOSI KATIKA MOJA YA MIGAHAWA MWANZA .. TAZAMA HAPA

RAIS DR JOHN MAGUFULI AINGIA KWA KUSHTUKIZA NA KUPATA MSOSI KATIKA MOJA YA MIGAHAWA MWANZA .. TAZAMA HAPA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 





Rais wa Tanzania John Magufuli ameingia kwa kushtukiza katika mghahawa mmoja Mwanza na kusalimiana na wateja na wananchi kisha kuagiza chakula na kula pamoja. Aidha, ameagiza kupewa vinywaji baridi kwa wananchi waliokuwepo eneo hilo.
Mmiliki wa mgahawa huo ameahidi kubadilisha jina la mghahawa wake na kuupatia jina la Dk Magufuli Cafe. Picha/Ikulu, Tanzania

2 comments:

Unknown said...

He is a man of the people and he is not worried of them instead he is pleased and happy to enjoy the freedom of association amid of his voters

Unknown said...

He is a man of the people and he is not worried of them instead he is pleased to enjoy a freedom of association and is happy have a cheerful time his beloved and esteemed voters

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa