Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitumia usafiri wa pikipiki alipokuwa anakwenda Kijiji cha Ilyamchele, Kata ya Namonge ambako aliendesha harambee ya ujenzi wa Shule ya Msingi ya Ilyamchele akiwa katika ziara wilayani Bukombe, Geita, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Msafara wa Komredi Kinana ukivuka katika moja ya mio iliyopo Barabara ya Ilyamchele
Gari lililombeba Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye likivuka katika moja ya mito katika Kijiji cha Ilyamchele, wilayani Bukombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiakivuka kwenye daraja la Ilyamchele baada ya kuzindua ujenzi wa daraja hilo, wilayani Bukombe, Geita,akiwa katika ziara wilayani Bukombe, Geita, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
Nape akivuka katika daraja bovu la Ilyamchele
Watoto wakiwa karibu na chumba cha darasa cha Shulre ya Msingi Ilyamchele, katika Kata ya Namonge, wilayani Bukombe. Komredi baada ya kuona hali hiyo, aliitisha harambee ya ujenzi wa shule hiyo, isiyokuwa na walimu wataalamu.. picha zote na richard mwaikendak kamanda wa matukio blog
Wananchi wa Kijiji cha Ilayamchele wakishangilia baada ya Komredi Kinana kufanikisha harambee ya ujenzi wa shule hiyo ya Ilamchele.
Komredi Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la CCM Tawi la Busonzo, wilayani Bukombe.
Komredi Kinana akishiriki ujenzi wa chumba cha darasa katika Shule ya Msingi ya Ilamchele, wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita.
Komredi Kinana akihutubia katika mkutano ambao aliitisha u ya ujenzi wa majengo ya Shule ya Msingi Ilamchele, wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Ilamchele, wilayani Bukombe. Kijiji hicho hakina Zahanati wala shule ya maana.
Wananchi wa Kijiji cha Ilamchele wakishangilia kwa furaha baada ya Komredi Kinana kufanikisha harambee ya ujenzi wa shule hiyo.
Wananchi wa Kijiji cha Ilamchele wakisindikiza kwa ngoma msafara wa Komredi Kinana na Nape
Komredi Kinana akinunua miwa katika Kijiji cha Ilayamchele
Komredi Kinana akizungumza alipowatembelea wajasiliamali wa uuzaji wa samaki na dagaa katika Soko la Uyovu katika Kay Uyovu, wilayani Bukombe.
Komredi Kinana akizhutubia wachimbaji wadogo wadogo wa madini katika Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe, Geita.
Nape Nnauye akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe.
Komredi Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe, Geita.
Komredi Kinana akishiriki kutega mzinga wa nyuki katika Kata ya Iyogelo, wilayani Bukombem Geita
Komredi Kinana akishiriki kufitisha fremu ya mlango katika vyumba vya madara ya Shule ya Sekondari ya Busonge, wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita.
Wananchi wakimlaki Komredi Kinana kwenye mkutano wa hadhara mjini Bukombe,
Nape akiunguruma katika mkutano wa hadhara mjini Bukombe
Komredi Kinana akitema chehe katika mkutano wa hadhara mjini, Bukombe wakati wa ziara yake

0 comments:
Post a Comment