Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
![]()  | 
| Licha ya miundo mbinu kuwa katika hali tete kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wafanyakazi na wahudumu toka makampuni na mashirika mbalimbali hawajasita kujitokeza. | 
![]()  | 
| Mabanda na hili ni banda la Bima. | 
![]()  | 
| Ushauri na upimaji afya bure unazingatiwa viwanjani hapa. | 
![]()  | 
| Watu wameweka kambi viwanjani hapa. | 
![]()  | 
| Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umewekeza ndani ya viwanja hivi. | 
![]()  | 
| Upimaji, ushauri, na huduma ya kwanza inafanyika ndani ya banda hili la Bima ya Afya kwenye viwanja hivi vya Furahisha hapa jijini Mwanza. | 
![]()  | 
| Ushauri wa kina. | 
![]()  | 
| Gari mahususi kwa akinamama wajawazito waliochelewa kuwahishwa cliniki katika zama za kujifungua au wenye uhitaji wa dharula. | 
![]()  | 
| Wakali wa digitali 'Startimes' nao wamejikita humu. | 
![]()  | 
| Banda la Mamlaka ya maji safi na maji taka jijini Mwanza (MWAUWASA). | 
![]()  | 
| Taswira toka mbali viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. | 
![]()  | 
| Barua toka Posta. | 
![]()  | 
| Usalama kazini hususani sekta ya Kilimo. | 
 Kwa hisani ya G Sengo Blog















0 comments:
Post a Comment