Tone

Tone
Home » » PAMOJA NA KUNUSURIKA KUWAKA MOTO : MV VICTORIA HII HAPA INAAMBAA, KUELEKEA BUKOBA ... TAZAMA HAPA

PAMOJA NA KUNUSURIKA KUWAKA MOTO : MV VICTORIA HII HAPA INAAMBAA, KUELEKEA BUKOBA ... TAZAMA HAPA

Mv Victoria ikijitayarisha kwa ajiri ya kufanya safari yake usiku wa leo kuelekea mjini Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kukaguliwa kufuatia kunusurika kuteketea mchana wa leo kupitia sakata la wachomeleaji walio sababisha moto uliozuka eneo la kuhifadhi mizigo.
Mv. Victoria ikipakia gari usiku huu hatimaye kuanza safari yake usiku huu.
Nao wasafiri walipanda kama ada licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na wengine kuahirisha kabisa safari.
Ndani ya meli abiria wakitathimini mazingira.
Saa 3 na dakika 10 meli ya Mv. Victoria inaondoka Mwanza.... kuelekea Bukoba mkoani Kagera.
Picha na Mdau G sengo 

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa