Home » » Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava Afungua Warsha kwa maafisa wa mipakani kuhusu usimamizi wa mazao na bidhaa zitokanazo na Bioteknolojia ya kisasa

Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava Afungua Warsha kwa maafisa wa mipakani kuhusu usimamizi wa mazao na bidhaa zitokanazo na Bioteknolojia ya kisasa





 Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Eng. Ngosi Mwihava akifungua Warsha kwa maafisa wa mipakani kuhusu
usimamizi wa mazao na bidhaa zitokanazo na Bioteknolojia ya kisasa.
Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt.
Julius Ningu na kushoto ni Afisa Mazingira Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Bi Esta Makwaia. Warsha hii imefanyika leo kwenye Hotel ya La kairo
jijini Mwanza




 Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Usimamizi
wa mazao na bidhaa zitokanazo na bioteknolojia ya kisasa wakimsikiliza
Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava
[pichani hayupo] kwenje Hoteli ya La kairo Jiji Mwanza




Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais
Eng. Ngosi Mwihava akisalimiana na Afisa Afya Mkoa wa Shinyanga Bw.
Nyanza Masakilija mara Baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Usimamizi wa Mazao
na bidhaa zitokanazo na Bioteknolojia ya kisasa katika Hoteli ya La
Kairo Jiji Mwanza




Washiriki wa Warsha ya Usimamizi wa mazao
na bidhaa zitokanazo na bioteknolojia ya kisasa wakiwa kwenye picha ya
pamoja na mgeni rasmi (katikati) Mara baada ya kufungua warsha hiyo
kwenye Hoteli ya La kairo Jiji Mwanza.Picha na Ali Meja

0 comments:

 
Blogs za Mikoa
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa