Tone

Tone
Home » » NEWS ALERT: RPC WA MKOA WA MWANZA LIBERATUS BARLOW AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO.

NEWS ALERT: RPC WA MKOA WA MWANZA LIBERATUS BARLOW AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI USIKU WA KUAMKIA LEO.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza  Liberatus Barlow  (pichani) ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi usiku wa kuamkia leo.
Tukio hilo limetoka katika eneo la Kitangiri majira kati ya saa saba na saa nane usiku wakati RPC huyo akimrejesha nyumbani dada yake wakitokea kwenye kikao cha harusi.
Taarifa  hizo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini na kwa undani wa tukio hilo ni baada ya uchunguzi.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa