Tone

Tone
Home » » MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU AZINDUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA KITAIFA JIJINI MWANZA

MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU AZINDUA MASHINDANO YA COPA UMISSETA KITAIFA JIJINI MWANZA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa ameshika mpira ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mashindano ya Copa UMISSETA yanayoendelea mkoani Mwanza.Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.  Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman JafFo akizungumza kwenye uzinduzi huo uliofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akikagua baadhi ya timu kwenye uzinduzi wa Copa UMISsETA.
Mkurugenzi wa Nyanza Bottling Co. Ltd ya Mwanza, Christopher Gachuma akisalimiana na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.
Wanafunzi wa jiji la Mbeya wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais.
Wanafunzi wa mkoa wa Pwani wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais.
Wanafunzi wa mkoa wa Rukwa wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais.
Wanafunzi wa mkoa wa Ruvuma wakipita na kutoa heshima kwa Makamu wa Rais.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa