Tone

Tone
Home » » HATARI HII: UNYANYASAJI, MKE AKATA NYETI ZA MUMEWE KISA CHAKULA.

HATARI HII: UNYANYASAJI, MKE AKATA NYETI ZA MUMEWE KISA CHAKULA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
MWANAUME mmoja mkazi wa Igeregere Bugarika jijini Mwanza amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukatwa uume wake na mwanamke anayedaiwa kuwa alikuwa ni mpenzi wake.


Mwanaume huyo ambaye jina linahifadhiwa ameripotiwa kukumbwa na mkasa huo siku ya juma mosi wiki iliyopita nyumbani kwake.

Baadhi ya majirani wa mwanaume huyo wamesema mwanamke aliyefanya tukio hilo alikuwa amelewa na sababu za ugomvi huo ni chakula. BOFYA PLAY KUSIKILIZA MKASA.


Siku ya tukio mwanaume huyo alifika nyumbani kwake akiwa amechoka akitokea shamabi alikokuwa amekwenda kulima.

Baada ya kufika nyumbani hakumkuta mwanamke huyo ambapo aliamua kupika na kumuachia chakula kidogo mwanamke huyo.

 KUMALIZIA KUSOMA KISA HIKI BOFYA HAPA G SENGO BLOG





0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa