Tone

Tone
Home » » WAZIRI MKUU PINDA AALIKWA FUTARI NA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI WA DAR ES SALAAM NA MWANZA

WAZIRI MKUU PINDA AALIKWA FUTARI NA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI WA DAR ES SALAAM NA MWANZA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Kamati za Amani za mikoa ya Dar es salaam na Mwanza walioshiki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amaniya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015.
Baadhi ya washiriki wa futari iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya viongozi wa dini wa mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaan Julai 3, 2013ambapo mgemoi rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Viongozi wa kamati ya Amani ya mkoa wa Mwanza pia walialikwa kwenye futari hiyo.
Mke wa Waziri Mkuu , Mama Tunu Pinda wapili kulia) akizungumza na baadhi ya wnawake walioshiriki katika futari iliyoandaliwa na Kamatiya Amani ya mkoa wa Dar es salaam kwenye ukumbi wa Karimjee Juni 3, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikuwa mgeni rasmi katika futari hiyo. Viongozi wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza pia walialikwa katika futari hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa