Tone

Tone
Home » » CHANZO CHA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM "MWANZA"

CHANZO CHA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM "MWANZA"

  Mwili wa marehemu Mabina aliyeuawa na wanainchi baada ya kutokea kutoelewana kutokana na mgogoro wa kiwanja umepokelewa mochwari na kuhifadhiwa.

CHANZO CHA KIFO CHAKE


Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina anadaiwa aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi iko mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wanachi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi ipo mahakamani?
Mabina inadaiwa akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani.
Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia kupata habari zaidi.

Na Dj Sek Blog

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mwanza Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa